Kaunti ya Makueni yatoa ajira kwa walimu wa chakechea

  • | Citizen TV
    561 views

    Serikali ya kaunti ya Makueni inapania kuwaajiri walimu 453 wa chekechea. walimu hao wamekuwa wakipitia hali ngumu kwa kukosa ajira ya kudumu. Michael Mutinda anahudhuria hafla hiyo na sasa anaungana nasi mubashara kwa maelezo zaidi