| UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 1]

  • | Citizen TV
    4,081 views

    Rais Ruto ameahidi kufanya mabadiliko serikalini Bajeti za ofisi za mkewe rais na wa naibu rais zaondolewa Serikali ilitangaza hatua za kupunguza matumizi Rais amevunja mashirika 47 yenye kazi zinazofanana Rais aahidi kupunguza washauri wake kwa 50% Deni la taifa lilikuwa ksh.10.398t kufikia mwezi machi Rais ameteua jopo la kutathmini madeni ya taifa LSK yasema ni kazi ya ofisi ya mhasibu mkuu