Senator wa Vihiga Godfrey Osotsi amtaka rais kuweka saini mswada wa IEBC

  • | Citizen TV
    1,370 views

    Seneta wa kaunti ya Vihiga Godfrey Osotsi anamtaka rais William Rutokutia saini mswada wa IEBC kuwa sheria.Osotsi amesema kucheleweshwa kwa sheria njia moja ya kuwalinda wabunge ambao wakenya wameelezea nia ya kuwaondoa bungeni.