Kaunti ya Homa Bay yaimarisha huduma za kujifungua

  • | KBC Video
    5 views

    Serikali ya kaunti yaHoma Bay imebuni mfumo dhabiti kuhifadhi damu kushughulikia kikamilifu dharura zinazotokea ili kuzuia vifo vya akina mama wanaojifungua katika kaunto hiyo. Waziri wa afya katika serikali ya kaunti hiyo, Kevin Osuri anaamini kuwa vifo vingi vya akina mama vinatokana na uhaba wa damu wakati wa kujifungua. Aidha, alitoa vifaa vya upasuaji kwa hospitali za kaunti ndogo kupunguza visa vya kuhamaisha akina mama wajawazito wanaohitaji upasuaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive