Serikali inapanga kuongeza ushuru wa mafuta

  • | Citizen TV
    1,374 views

    Wakenya wametoa hisia seto kuhusu pendekezo la kuongeza ushuru wa mafuta kwa shilingi saba. baadhi ya wakenya waliotoa maoni yao wanasema kuwa kuongezwa kwa ushuru huo kutasababisha nyngeza ya bei ya mafuta ilhali wananchi tayari wanabanwa na gharama ya juu ya bidhaa.