AIPCA wataka serikali kupunguzia gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    192 views

    Viongozi wa kanisa la AIPCA wanaitaka serikali kuwapunguzia wakenya mzigo wa gharama ya maisha. Viongozi hao wanasema kuwa wakenya wanataabika kumudu gharama ya maisha. Aidha wanataka serikali kusikiza kilio cha wakenya na kutatua masuala yaliyosababisha maandamano. Aidha wamewataka wanasiasa kukoma kupiga siasa kwenye maabadi.