Wakaazi kutoka Kaunti ya Elgeyo Marakwet wametofautiana vikali na maafisa wa kulinda misitu KFS

  • | TV 47
    25 views

    Wakaazi kutoka Kaunti ya ElgeyoMarakwet wametofautiana vikali na maafisa wa kulinda misitu KFS kwa kile ambacho wakaazi hao wanasema kuwa maafisa hao wanataka kutumia nguvu kuweka ua katika misitu ya serikali huku wakitaka serikali kumsimamisha kazi kwa Mkuu wa Hifadhi ya Misitu Kaskazini mwa bonde la ufa Anthony Musyoka.

    Jambo ambalo wakazi hao wamesema kuwa itawanyima haki zao wakati wanatumia misitu.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __