Watu 4 wamefariki kwenye ajali eneo la Ndarugo, Juja

  • | Citizen TV
    5,356 views

    Watu wanne wamefariki katika eneo la Ndarugo huko juja kufuatia ajali ya barabarani. Inaarifiwa kuwa gari moja la kibinafsi liliwagonga watu waliokuwa wamekusanyika kutazama ajali iliyokuwa inahusisha gari ndogo na trela iliyokuwa ikisafirisha mizigo kuelekea kwenye kiwanda kimoja huko Thika.