- 52 viewsHospitali Gaza zinakabiliwa na shinikizo kubwa la wagonjwa wengi wanaowapokea na huku huduma zikiwa finyu kutokana na vita. Daktari wa watoto, Mervat Al-Qatati, alisema Hospitali ya Nasser haiwezi kutoa matibabu kwa idadi kubwa ya wagonjwa watoto ambao wanawapokea. Kampeni ya Jeshi la Israel imeziweka hospitali nyingi na vituo vingine vya afya kutoweza kutoa huduma, kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), na kusababisha ukosefu mkubwa wa mahitaji ya tiba. Israel inakanusha kukusudia kulenga vituo vya afya au kuzuia upatikanaji wa mahitaji ya tiba kupelekwa Gaza. Vita hiyo ilianza Oktoba 7 wakati wapiganaji kutoka Palestina wa kikundi cha wanamgambo wa Hamas walipovamia mpakani na kushambulia jamii mbalimbali huko Israel, ikiuwa watu 1,200 na kuwateka watu 250, kulingana na idadi iliyotolewa na Israeli. Shambulizi la Israeli huko Gaza kulipiza kisasi lilianza siku hiyo hiyo kwa kushambulia kwa mabomu na limeendelea kwa miezi tisa pamoja na uvamizi wa ardhini ambapo mamlaka za afya Palestina zinasema imeuwa zaidi ya watu 38,000 na kujeruhi zaidi ya watu 80,000. Idadi kubwa ya waliojeruhiwa kutokana na vita hivyo imeongeza magonjwa kusambaa na utapiamlo kati ya wakati asilimia 90 wa Gaza ambapo Umoja wa Mataifa unasema wamekoseshwa makazi, na kuweka shinikizo kubwa kwa mifumo ya afya katika eneo hilo finyu. #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen
Daktari wa watoto aeleza hospitali pekee ya Nasser imeelemewa na wagonjwa
- - 🔴TV47 MATUKIO ››
- 28 Nov 2024 - Winnie Byanyima, the wife of Ugandan opposition leader Dr. Kizza Besigye, has disclosed the details leading to her husband's abduction in Nairobi and subsequent arraignment in a Kampala military court.
- 28 Nov 2024 - The Sambaza Furaha na Safaricom campaign, in partnership with Royal Media Services, continued its vibrant month-long journey, taking the festive cheer to Nyanza region.
- 28 Nov 2024 - Several members of Donald Trump's incoming administration have received threats including bomb alerts, a spokeswoman for the president-elect said Wednesday.
- 28 Nov 2024 - It is a sigh of relief for churches in Kenya after Tana River Senator Danson Mungatana formally wrote to the Speaker of the Senate to withdraw the Religious Organisations Bill, which sought to regulate religious groups.
- 27 Nov 2024 - Busia Senator and Activist Okiya Omtatah has officially launched his presidential exploratory mission by establishing a 10-member committee to assess his viability to run for President in 2027.
- 27 Nov 2024 - Detectives from the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) on Tuesday arrested Henry Mwasaru, the Head of Human Resource and Administration at the Kenya Maritime Authority (KMA), over allegations of procurement fraud.
- 27 Nov 2024 - The National Treasury was on Wednesday put to task over anomalies of over Ksh.160 billion external debt repayment for the past three financial years.
- 27 Nov 2024 - Majority Leader Kimani Ichung’wah has called for greater protection and empowerment of local entrepreneurs, particularly in light of the country's rapid infrastructure growth.
- 27 Nov 2024 - Opposition leader Raila Odinga's ODM party yesterday embraced consensus in several areas as it conducted much-awaited grassroots elections.
- - US AFRICOM Commander visits SHOFCO to highlight community-led empowerment in Kenya