- 210 viewsMafuriko yaliyochochewa na mvua kubwa yaliyatenga baadhi ya maeneo ya kusini magharibi mwa manispaa ya Chongqing nchini China Alhamisi (Julai 11), kituo cha televisheni cha taifa CCTV kimeripoti. Picha za kanda za video zilizochukuliwa angani zimeonyesha majengo ya makazi na miti huko katika kijiji cha Chang yamefunikwa na maji ya mafuriko. Nyumba takriban 280 ziliathiriwa, CCTV ilisema, ikiongeza kuwa kiasi cha wakazi 490 walilazimika kuhamishwa. Katika operesheni kama hii ya uokoaji, kiwango cha maji kilionekana kuwa na kina hadi kwenye kifua, Ripoti ya CCTV ilionyesha. Mamlaka katika eneo zimetangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na hali ya mafuriko, ripoti hiyo ilisema. Idadi ya vifo kutokana na mvua hiyo kubwa huko Chongqing iliongezeka hadi watu watano na mmoja wao hajulikani aliko, kulingana na ripoti ya Alhamisi iliyotolewa na Shirika la habari la serikali Xinhua. #mafuriko #china #mvua #chongqing #voa #voaswahili
Makazi yazama chini ya maji
- 23 Apr 2025 - Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
- 23 Apr 2025 - Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
- 23 Apr 2025 - Pope Francis' funeral will be held on Saturday in St. Peter's Square, Roman Catholic cardinals decided on Tuesday, setting the stage for a solemn ceremony that will draw leaders from around the world.
- 23 Apr 2025 - The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
- 23 Apr 2025 - Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
- 23 Apr 2025 - Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
- 23 Apr 2025 - Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
- 23 Apr 2025 - MPs launch probe into kidney trade claims
- 23 Apr 2025 - Papal dais: A lasting tribute to Pope Francis
- 23 Apr 2025 - Over 19,000 documents uncollected as CS Ruku vows to streamline Huduma Centres