Serikali ya kaunti ya Baringo yazindua kampeni ya siku 3 ya utoaji damu ikilenga shule za upili

  • | KBC Video
    28 views

    Serikali ya kaunti ya Baringo kwa ushirikiano na kampuni ya FIND DX Kenya imezindua kampeni ya siku tatu ya utoaji damu ikilenga shule za upili za eneo hilo. Mshirikishi wa huduma za damu katika kaunti ya Baringo Micah Chebon amesemi kampeni hiyo imeshawishiwa na changamoto kubwa iliyoko ya kupata hitaji la painti 500 zinazohitajika katika hospitali za mma na kibinafsi za eneo hilo. Akiongea katika shule ya upili ya wavulana ya Marigat, Chebon alisema kiasi kikubwa cha damu kinahitajika katika eneo hilo kukidhi mahitaji ya waathiriwa wa ukosefu wa lishe bora miongoni mwa wakazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive