- 290 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
HATARI ZA UPOTOSHAJI WA HABARI KATIKA NCHI ZA AFRIKA
- 22 Apr 2025 - Easter holiday turned tragic for a family after their 6-year-old son died in a swimming pool at the Sun and Sand Hotel in Kikambala, Kilifi County.
- 22 Apr 2025 - Even as the more than 1.4 billion Roman Catholics around the world continue to mourn Pope Francis, speculation is building as to who among the 135 red-robed cardinals eligible to vote will succeed him.
- 22 Apr 2025 - The Controller of Budget (CoB) has raised a red flag over a growing financial indiscipline in counties that she says is exposing taxpayers' money to pilferage.
- 22 Apr 2025 - President William Ruto has arrived in China for a four-day State Visit at the invitation of His Excellency President Xi Jinping.
- 22 Apr 2025 - Six people have died overnight in Nairobi following heavy rains. Three of them—a mother and her two children—were killed when a boulder crushed their house in Mathare.
- 22 Apr 2025 - The DCI has taken over the probe into alleged human organ trafficking at Mediheal Hospital’s Fertility and Transplant Centre in Eldoret, Uasin Gishu County.
- 22 Apr 2025 - Four individuals have been charged at the Milimani Law Courts with conspiracy to defraud different businessmen by falsely claiming they could import sugar from Brazil to Kenya.
- 22 Apr 2025 - Defence Cabinet Secretary Soipan Tuya has announced that the Kenyan government is intensifying efforts to dismantle terrorism financing networks as part of a broader strategy to combat extremism in the region.
- 22 Apr 2025 - While admitting the rising cases, he dispelled claims that the move is reactionary.
- 22 Apr 2025 - There was drama at Njegas Health Centre in Karii Village, Mwea-West, Kirinyaga County after three individuals were rushed to the facility unconscious, allegedly after consuming toxic alcohol.