- 109 viewsTanzania inaendelea kuimarika katika shughuli za Utalii na kuongeza mchango katika Uchumi wake. Kwa mujibu wa ripoti ya Baraza la Utalii Duniani WTTC iliyotolewa mwishoni mwa mwezi juni mwaka huu, Tanzania imeweka rekodi ya kuwa Mataifa yanayonufaika zaidi na sekta hiyo ikichangia takribani shilingi za Tanzania trilioni 18 katika Uchumi wa taifa hilo. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Tanzania yadai sekta ya utalii kuiingiza shilingi trilioni 18 | VOA Swahili
- 27 Nov 2024 - The government has defended its ambitious livestock vaccination campaign aimed at combating viral diseases, despite opposition from some quarters.
- 27 Nov 2024 - Tanzania plans to honour its contracts with an Adani Group unit despite a U.S. indictment of its billionaire chairman Gautam Adani on accusations of bribery and fraud, a senior official at the ports authority said.
- 27 Nov 2024 - Angry residents of Kithogondo village in Ngurubani, Mwea, Kirinyaga County, blocked miraa vehicles from using the Mwea-Embu highway on Wednesday, following a tragic incident in which two children were killed by a speeding miraa truck on Tuesday.
- 27 Nov 2024 - The Orange Democratic Movement (ODM) grassroots elections have ignited a spirited contest for Nairobi's top leadership, pitting two seasoned politicians — Makadara MP George Aladwa and Westlands MP Tim Wanyonyi — against each other.
- 27 Nov 2024 - KMPDU has ordered intern doctors to down tools in protest following the death of one of their own, Dr. Francis Njuki, who reportedly took his own life due to frustration from his job.
- 27 Nov 2024 - Nearly 24 Kenyans have been arrested in connection with a case of online credit card fraud that led to losses worth over Ksh.1.1 billion.
- 27 Nov 2024 - The government has halted the recruitment process of job seekers abroad that was being conducted by the Ministry of Labour to fast-track the processing of the already selected applicants.
- 27 Nov 2024 - The government has halted the recruitment process of job seekers abroad that was being conducted by the Ministry of Labour to fast-track the processing of the already selected applicants.
- 27 Nov 2024 - A 40-year-old man who had been arrested for allegedly killing his wife in Kagio Town, Kirinyaga County has committed suicide at Kiamaciri Police Station in Mwea-West Sub-county.
- 27 Nov 2024 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has summoned four council members from Moi University to record a statement over the alleged embezzlement of Ksh2.2 billion through various infrastructural projects.