NCPD yasema wakaazi Garissa wagura ufugaji

  • | Citizen TV
    428 views

    Baraza la kitaifa kuhusu idadi ya watu na maendeleo - NCPD- limebaini kuwa idadi kubwa ya watu wa kaunti ya Garissa wameacha ufugaji na kuhamia mijini jambo ambalo limesababisha upungufu wa uzalishaji wa mali mashinani.