Wafuasi wa chama cha UDA, Busia waaandamano kushinikiza Rais kumrejesha waziri Ababu Namwamba

  • | NTV Video
    490 views

    Wafuasi wa chama cha UDA katika kaunti ya Busia wamefanya maandamano ya amani kushinikiza Rais William Ruto kuzingatia kumrejesha aliyekuwa waziri wa michezo Ababu Namwamba katika Baraza la mawaziri. Wakazi hao waliojawa na ghadhabu walichoma nguo zao za UDA wakiashiria hasira zao wakisema kuwa kutorejeshwa kwa Ababu katika wizara ya michezo kutamaliza umaarufu wa UDA katika kaunti ya Busia. Wamesema kuwa Ababu alikuwa ameimarisha sekta hiyo vijana na wanamichezo wakifaidika.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya