Viongozi wa UDA wamkosoa Rais Ruto kwa kumtenga Aisha Jumwa kutoka kwa baraza jipya la mawaziri

  • | NTV Video
    2,131 views

    Huenda hatua ya Rais William Ruto kutomteua aliyekuwa waziri wa jinsia aisha jumwa, kwenye baraza lake jipya la mawaziri ikaathiri pakubwa umaarufu wa chama cha uda katika kaunti ya kilifi. baadhi ya wanachama wa uda huko Kilifi, sasa wanahisi kwamba ruto ameenda kinyume na matarajio yao ya jumwa kujumuishwa kikamilifu kwenye nafasi kuu za uongozi wa serikali ya kenya kwanza licha ya kuwa mstari wa mbele kupeperusha bendera ya uda kaunti hiyo. kama anavyotueleza mwanahabari wetu wa mombasa fatuma bugu , wamekiri kuwa hakuna uda Kilifi bila Aisha Jumwa katika baraza jipya la mawaziri .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya