Jamii za wafugaji Isiolo zapata maji safi

  • | Citizen TV
    280 views

    Ni afueni kwa jamii za wafugaji kaunti ya Isiolo baada ya kuzinduliwa kwa vituo vya kusambaza maji kwa wakazi wa vijiji mbalimbali.mradi huo unalenga kuwanufainisha wenyeji na mifugo wao, kando na kufanikisha kilimo.