Olimpiki Paris 2024: Wanariadha wa Rwanda waanza kushindana leo

  • | VOA Swahili
    287 views
    Kikundi cha wanariadha wa Rwanda watashindana katika michezo ya Olimpiki Paris kuanzia leo Ijumaa. Ujumbe wa Rwanda huko Paris unawashirikisha wanariadha wafuatao, Umuhoza Uwase Lydivine, atakaye shindana katika uogeleaji wa mita 50, mwendesha baiskeli Manizabayo Eric, mwendesha baiskeli Diane Ingabire, na Mukandanga Clemetine, atakaye shiriki katika marathon kamili (km42). Haya majina ndiyo ya wanariadha hao katika video. #olimpiki2024 #afrika #medali #washindi #wanariadha #voa #voaswahili #rwanda #kigali #marathon #mashindano