- 30 viewsKatika Michezo ya Olimpiki iliyoanza rasmi Ijumaa, zaidi ya wanariadha 10,000 wamekusanyika mjini Paris wakiwa na ndoto ya kushinda medali ya dhahabu, ya fedha au ya shaba. Miongoni mwao ni wanawake kadhaa kutoka nchi za Afrika. Miongoni mwao ni wanawake kadhaa kutoka nchi za Afrika, wengi wao wameshinda changamoto kubwa za kiuchumi na kijamii kufika mjini Paris. Kwa mara ya kwanza katika historia, Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC), ilisema imefanikisha lengo la usawa wa kijinsia kwenye uwanja wa mashindano katika Olimpiki ya mwaka huu. Olivier anaeleza: “Sasa nikujikita kwenye mashindano sio kuzidiwa na shauku kubwa inayosababishwa na Olimpiki, lakini kufurahia mafanikio madogo kwa kila hatua nitakayopiga. Zimebaki wiki mbili kabla ya kushindana na nina hakika muda wote mashindano yanavyokaribia, wasiwasi utaongezeka. Lakini kwa sasa ni kufurahia kufika Paris.” Kuendesha mitumbwi kwa kasia sio mchezo maarufu barani Afrika. Hata hivyo, timu za mitumbwi kutoka Angola, Misri, Morocco, Nigeria, Afrika Kusini na Tunisia zitawakalisha bara hilo kwenye michezo ya Olimpiki. Olivier anasema mazoezi ya mchezo huo ni magumu kwa wanawake: “Nimefanya safari hii peke yangu kwa kiasi kikubwa na kwa sababu kuna wanawake wachache wanaoshiriki katika mbio za mitumbwi nchini Afrika Kusini, siku zote imenilazimu kufanya mazoezi kati ya wanaume. Kwa hakika hiyo ni changamoto. Ukosefu wa msaada ni changamoto. Na kuhangaika tu na maisha binafsi na michezo, unajua, kwa sababu huwezi kuzingatia tu kuwa mwanariadha, lazima pia niwe mke.” Licha ya hatua iliyopigwa na wanariadha wanawake, changamoto nyingi zinazokwamisha maendeleo ya wanawake katika michezo bado zipo, ikiwemo kutolipwa mshahara sawa na wanaume, ubaguzi, na mazingira duni ya mazoezi. - Mohammed Yusuf, VOA #olimpiki #michezo #olympicparis2024 #ufaransa #paris #voa #voaswahili #wanawake #jinsia
Ndoto za wanariadha katika Olimpiki Paris 2024 zitafikiwa?
- 27 Nov 2024 - The government has defended its ambitious livestock vaccination campaign aimed at combating viral diseases, despite opposition from some quarters.
- 27 Nov 2024 - Tanzania plans to honour its contracts with an Adani Group unit despite a U.S. indictment of its billionaire chairman Gautam Adani on accusations of bribery and fraud, a senior official at the ports authority said.
- 27 Nov 2024 - Angry residents of Kithogondo village in Ngurubani, Mwea, Kirinyaga County, blocked miraa vehicles from using the Mwea-Embu highway on Wednesday, following a tragic incident in which two children were killed by a speeding miraa truck on Tuesday.
- 27 Nov 2024 - The Orange Democratic Movement (ODM) grassroots elections have ignited a spirited contest for Nairobi's top leadership, pitting two seasoned politicians — Makadara MP George Aladwa and Westlands MP Tim Wanyonyi — against each other.
- 27 Nov 2024 - KMPDU has ordered intern doctors to down tools in protest following the death of one of their own, Dr. Francis Njuki, who reportedly took his own life due to frustration from his job.
- 27 Nov 2024 - Nearly 24 Kenyans have been arrested in connection with a case of online credit card fraud that led to losses worth over Ksh.1.1 billion.
- 27 Nov 2024 - The government has halted the recruitment process of job seekers abroad that was being conducted by the Ministry of Labour to fast-track the processing of the already selected applicants.
- 27 Nov 2024 - The government has halted the recruitment process of job seekers abroad that was being conducted by the Ministry of Labour to fast-track the processing of the already selected applicants.
- 27 Nov 2024 - A 40-year-old man who had been arrested for allegedly killing his wife in Kagio Town, Kirinyaga County has committed suicide at Kiamaciri Police Station in Mwea-West Sub-county.
- 27 Nov 2024 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has summoned four council members from Moi University to record a statement over the alleged embezzlement of Ksh2.2 billion through various infrastructural projects.