Mke wangu alipasuka vipande vipande baada ya kupigwa na kombora

  • | VOA Swahili
    419 views
    Patrick Kahenzi alikimbia kutoka Kibumba wilayani Nyiragongo kutokana na vita kati ya waasi wa M23 na majeshi ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Akihojiwa na mwandishi wa VOA Austere Malivika mjini Goma, alisema mke wake alifariki baada ya kuangukiwa na bomu walipokuwa wakikimbia vita hivyo. Pia rafiki zake walijeruhiwa. Kwa sasa anaishi katika kambi ya kanyaruchinya kilometa kumi kaskazini mwa Mji wa Goma ambako hana msaada na hata ana msongo wa mawazo. #goma #drc #vita #kambi #wakimbizi #watoto #bibi #voa #voaswahili #m23 #wapiganaji #mke #mauaji #bomu #waasi #m23