Watu takriban 2,000 wanaoishi na ulemavu waomba misaada kimataifa

  • | VOA Swahili
    343 views
    Muhindo Changu, mkuu wa watu wanaoishi na ulemavu katika kambi za wakimbizi zinazo zunguka Mji wa Goma anasema kuna watu zaidi elfu mbili kwa sasa wanaoishi katika hali mbaya na Duni,wengi wao walikimbia vita na kugeuka kuwa wakimbizi wa ndani na wengine wamepata ulemavu wakiwa kambini. Ungana na mwandishi wetu Austere Malivika akifanya mahojiano naye.... #goma #drc #vita #kambi #wakimbizi #watoto #bibi #voa #voaswahili #m23 #wapiganaji #mke #mauaji #bomu #waasi #m23