Huenda masharti makali yakadhibiti maabadi nchini

  • | Citizen TV
    1,078 views

    Huenda masharti makali zaidi yakayakabili makanisa na viongozi wake, endapo mswada wa kudhibiti mashirika ya kidini itapitishwa na kuidhinishwa kuwa sheria. Mswada huu ulioshinikizwa na mapendekezo ya jopokazi la rais baada ya mauwaji ya Shakahola ukipendekeza miongoni mwa mengine masomo ya wahubiri na hata adhabu kali kwa wanaotumia vibaya dini