Hoteli ya Treetops ilioko Nyeri yafunguliwa tena baada ya kufungwa

  • | Citizen TV
    887 views

    Baada Ya Miaka Ya Kufungwa Kutokana Na Athari Za Tandavu Ya Corona, Hatimaye Mkahawa Wa Treetops Mjini Nyeri Umefunguliwa. Kufunguliwa Kwa Mkahawa Huu Kukitajwa Kama Njia Mojawapo Itakayochangia Kukuza Sekta Ya Utalii Kaunti Hii. Na Kama Kamau Mwangi Anavyoarifu, Sifa Za Kihistoria Zilitolewa Kuhusu Mkahawa Huu Maarufu Kwa Ziara Ya Malkia Elizabeth Wa Uingereza Miaka Ya 50.