Klabu ya rotary taia saini mkataba wa kupanda miti

  • | Citizen TV
    138 views

    Katika hafla zinazoendelea za kuadhimisha miaka mia moja ya vyuo vya ufundi, Klabu ya Rotary ya Kenya imetia saini mkataba wa makubaliano na vyuo hivyo wa kupanda miti milioni moja kwa mwaka.