- 415 viewsWatabiri wa hali ya hewa walitahadharisha Jumatatu kuhusu dhoruba ya kimbunga inayotishia maisha, yenye viwango vya juu vya mvua na mafuriko yenye maangamizi katika eneo la kusini mashariki mwa Marekani wakati Kimbunga Debby kikiathiri pwani ya Ghuba ya Florida. Kituo cha Taifa cha Kimbunga Marekani¸ NHC, kilisema kimbunga hicho kina kasi endelevu ya upepo wa kiasi cha kilomita 130 kwa saa mapema Jumatatu wakati kimbunga hicho kilipopiga karibu na Steinhatchee, Florida. Kimbunga hicho kinaweza kuleta ufukweni wimbi kubwa la maji la hadi mita tatu zaidi ya mawimbi ya kawaida katika baadhi ya maeneo. Mawimbi yenye nguvu ni sababu kuu ya vifo kutokana na vimbunga, kulingana na NHC. Baada ya kuleta athari Florida, kimbunga hicho kinatarajiwa kubakia katika kanda hiyo, kikielekea pole pole upande wa kaskazini na kuleta mvua kubwa Florida, Georgia na South Carolina katika siku zijazo. Kimbunga Debby Kimbunga Debby Kiwango cha mvua cha sentimita 15-30 kinatarajiwa Florida, na sentimita 25- 50 huko Georgia na South Carolina. Magavana wa majimbo hayo matatu tayari wametangaza hali ya tahadhari kusaidia juhudi za misaada kuharakishwa. -VOA Baadhi ya taarifa katika habari hii zinatokana na mashirika ya habari ya AP na Reuters #kimbunga #Debby #Ghuba #Florida #mvua #Marekani #voa #voaswahili
Mvua na upepo mkali vyashuhudiwa Florida Kimbunga Debby kikipiga
- 22 Apr 2025 - Titus Wekesa Sifuna, has been arraigned before the Milimani Law Courts under a miscellaneous application.
- 22 Apr 2025 - Kariobangi North Member of County Assembly Joel Munuve has passed away.
- 22 Apr 2025 - Harvard University sued on Monday to block U.S. President Donald Trump from freezing billions of dollars in federal funding after the elite research institution rejected a list of White House demands that it said would undermine its independence.
- 22 Apr 2025 - The former prime minister has found himself caught up in the news surrounding the death of Pope Francis.
- 22 Apr 2025 - The National Assembly Health Committee has set up an inquiry committee to probe the kidney transplant scandal at Mediheal Hospital in Eldoret.
- 22 Apr 2025 - The media house has been grappling with a cash crunch for years now.
- 22 Apr 2025 - Lawmakers respond to outrage over delays in the processing of the crucial documents.
- 22 Apr 2025 - The proposals for a structured framework for the teaching profession are now before House Committee.
- 22 Apr 2025 - Security officers have rescued 57 indisposed persons who have been seeking healing at the controversial Melkio Joseph Mission Messiah church in Rongo, Siaya County and halted prayer activities at the church.
- 22 Apr 2025 - Mediheal: We are ready for audit