"Nimepitia tamaduni 'Usi', nimekatazwa vitu vingi"

  • | BBC Swahili
    2,276 views
    Frida Amani, Ni mmoja kati ya wasichana wachache nchini Tanzania waliojikita katika muziki wa kufoka foka (HipHop), Je nini kilichomvutia kuingia katika muziki wa aina hii? Je maisha yake nje ya muziki yapoje? Familia? Ameolewa? #bbcswahili #tanzania #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw