Sensa ya wanyama pori yaendelea Masai Mara na Amboseli

  • | KBC Video
    124 views

    Shughuli inayoendelea ya kunakili idadi ya wanyama pori imeingia awamu ya tatu huku wadau wakitaja mabadiliko ya hali ya hewa na unyemeleaji maeneo ya wanyama pori kuwa changamoto katika juhudi za uhifadhi humu nchini. Shughuli hiyo tayari imetekelezwa katika hifadhi ya wanyama pori za Masai Mara na mbugha ya kitaifa ya Amboseli.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive