Tamasha ya muziki ya kitaifa yaendelea katika shule ya upili ya wasichana ya Moi mjini Eldoret

  • | Citizen TV
    810 views

    Tamasha ya muziki ya kitaifa inaendelea katika shule ya upili ya wasichana ya Moi mjini eldoret. Shule mbalimbali kutoka kote nchini zinashiriki katika vitengo mbalimbali. Kilele cha tamasha hiyo, ni kumtumbuiza rais kwenye ikulu wiki ijayo. John Wanyama yupo Eldoret na tunaungana nae moja kwa moja kwa mengi zaidi.