ODM yafanya mabadaliko katika uongozi wake baada ya nafasi kuwachwa wazi

  • | NTV Video
    300 views

    Kamati kuu ya chama cha ODM hii leo imefanya mabadaliko katika uongozi wake wa chama hicho kujaza nafasi ziliowachwa wazi kufuatia kujiuzulu kwa mwenyekiti, manaibu wawili, katibu wa mambo ya siasa na vilevile mjumbe wa kamati ya kuratibu uchaguzi wa vyama

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya