Mwanabodaboda mwenye utu baada kushuhudia ukatili wa polisi kwenye maandamano ya nane nane

  • | NTV Video
    2,342 views

    Ukatili ulioshuhudiwa kutoka kwa polisi kwenye maandamano ya nane nane dhidi kwa waandamanaji, wanahabari, na wana boda boda hapa jijini nairobi ulizua hasira kubwa kutoka kwa umma. Hata hivyo mwanaboda boda Mike Barasa amewapa wakenya tumaini na kuinesha taswira tofauti ya utu baada ya kuonekana akiwa mstari wa mbele kuwasaidia waliokuwa wamejeruhiwa na polisi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya