“Nisiwe muongo, nimefanya maamuzi mabaya mengi katikati kwenye maisha yangu”

  • | BBC Swahili
    7,174 views
    Alijipatia umaarufu kupitia nyimbo mbalimbali zilizofanya vizuri kama vile nikikupata, maneno, Sofia, moyo mashine na nyinginezo nyingi Benard Paul Manyang’anga @iambenpol amezungumza na @rmziwanda_official kuhusu masula mbalimbali ya muziki na maisha yake ikiwemo athari ya kaka yake kujitoa uhai akiwa na miaka 19 yeye akiwa na miaka 17. #bbcswahili #nyotawaafrikamashariki #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw