Maafisa wa ODM Migori wamuunga mkono Gavana wa Migori Ochilo Ayacko kuwa mwenyekiti mpya wa ODM

  • | NTV Video
    287 views

    Maafisa wa ODM Migori wamemuunga mkono Gavana wa Migori Ochilo Ayacko kuwa mwenyekiti mpya wa kitaifa wa chama hicho. Nafasi hiyo ilisalia wazi baada ya mwenyekiti wa karibu na mbunge aliyeteuliwa john mbadi kuteuliwa kuwa waziri wa hazina na Rais William Ruto. Viongozi hao walisema kuwa waliamua kuweka imani kwa ochilo kwa sababu ya tajriba yake ya kisiasa nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya