Masaibu ya kina mama 'wachanga' Nakuru

  • | K24 Video
    12 views

    Lishe bora kwa kina mama wenye umri mdogo wanaoishi katika vitongoji duni katika kaunti ya Nakuru imewanyima wengi nafasi za kuwanyoshesha watoto katika muda unaostahili. Christine kihara mratibu wa maswala ya lishe bora katika kaunti hiyo amesema kuwa na bustani ya mboga mboga yaani kitchen garden huenda kukasaidia kina mama wengi kupata chakula kwa urahisi. Hayo yamejiri katika wiki ya unyonyeshaji ulimwenguni.