Genge hatari la ‘Jeshi Jinga’ larejea bungoma

  • | NTV Video
    664 views

    Ukosefu wa usalama kwa kiasi kikubwa uliokuwepo Kaunti ya Kakamega miaka kumi iliyopita unaonekana kurejea baada ya mauaji ya kutisha ya wakazi wanne wa Bungoma wakiwemo ndugu wawili, mmoja wao mzee wa kijiji aliyeuawa kwa kupigwa risasi Julai 28 mwaka huu.. angalau wahasiriwa ishirini wamejeruhiwa vibaya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya