Ushirika wa Ndoa I Viongozi wa dini wahimiza ushauri nasaha

  • | KBC Video
    73 views

    Baadhi ya viongozi wa kidini wamesisitiza haja ya ushauri nasaha kabla ya kufunga rasmi pingu za maisha.Wakiongea wakati wa ibada ya kutoa ushauri nasaha kuhusu ndoa katika kanisa la Kariobangi Baptist ,viongozi hao wa kidini walisema visa vingi vya talaka vingeepukika iwapo wana-ndoa wangefahamu ipasavyo kuhusu mahitaji ya kila mmoja wao kabla ya kufunga pingu za maisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive