Wafungwa 20 waachiliwa Mombasa

  • | KBC Video
    1,179 views

    Wafungwa-20 wa makosa madogo wameachiliwa huru kutoka gereza la Mombasa kwa hisani ya shirika la Women Empowerment Network mjini Mombasa. Shirika hilo ambalo huangazia uhamasishaji wa afya ya akili katika jamii imetanua shughuli zake ili kuwajumuisha wale waliofungwa kwa kutekeleza makosa madogo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive