Madereva wa texi Eastleigh waandamana kulalamikia unyanyasaji wa polisi

  • | KBC Video
    630 views

    Ghasia zilishuhudiwa nje ya kituo cha polisi Eastleigh North ,madereva wa teksi wakikabiliana na polisi kwa madai ya kuwakamata wenzao kinyume cha sheria.Kizaza kilizuka baada ya madereva hao kuandamana nje ya kituo cha polisi cha eastleigh north kushinikiza kuachiliwa huru kwa wenzao waliokamatwa.Madereva hao sasa wanataka maafisa wasimamizi wa kituo hicho cha polisi kuhamishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive