Mwanamume wa miaka 23 apigwa risasi akiwa kituo cha polisi

  • | KBC Video
    3,183 views

    Samson Mutunga Wambua mwenye umri wa miaka 23 anatsfuta haki kwa kupigwa risasi akiwa kizuizini katika kituo cha polisi cha Kilimambogo kaunti ndogo ya Thika Mashariki ,kaunti ya Kiambu. Komanda wa polisi katika eneo hilo Adrew Sora amethibitisha kisa hicho ,akisema afisa aliyemjeruhi Wambua ametoroka na anatafutwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive