Waziri Oparanya asema atajiuzulu endapo hataweza kufanikisha miradi inayopendekezwa

  • | K24 Video
    11 views

    Waziri wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya amesema kuwa atajiuzulu endapo hataweza kufanikisha miradi inayopendekezwa katika wizara hiyo. Oparanya alikuwa akizungumza katika kanisa la Mariakani katika mtaa wa South B jijini Nairobi, ambapo aliapa kutumia kazi yake mpya ya uwaziri kama fursa ya kushughulikia matakwa ya waandamanaji wa kizazi cha Gen Z.