Waziri Duale aelezea mpango wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi

  • | K24 Video
    36 views

    Waziri wa mazingira Aden Duale ameelezea mpango wake katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Duale amesisitiza umuhimu wa marufuku dhidi ya plastiki katika kutatunza mazingira. Duale aliyasema haya baada ya kukabidhiwa rasmi afisi ya waziri wa mazingira