"Nilihisi mimi ni sauti ya watu wenye sauti zisizosikika”

  • | BBC Swahili
    11,634 views
    Salim Ahmedy Issa maarufu kama Gabo Zigamba ni muigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania amezungumza na Regina Mziwanda kuhusu masuala mbalimbali ya uigizaji ikiwemo historia ya jina la Gabo Zigamba. Kutazama kwa kina mahojiano haya tembelea ukurasa wa Youtube wa BBCSwahili #bbcswahili #sanaa #filamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw