Watu watano wa familia moja wafariki kwenye ajali, Nakuru

  • | Citizen TV
    6,405 views

    Watu watano wa familia moja wameaga Dunia baada ya gari lao kugongana dafrao Na trela eneo la Mbaruk,Gilgil kwenye barabara ya Nakuru kuelekea Nairobi mapema leo.