Watu 6 wameuawa kwa kuteketezwa eneo la Eledimtu, Marsabit

  • | Citizen TV
    2,289 views

    Watu sita wameuawa baada ya kuvamiwa na majangili katika eneo la Eledimtu kaunti ya Marsabit usiku wa kuamkia leo.