Rais awapuuza wakosoaji wa baraza la mawaziri

  • | KBC Video
    158 views

    Rais William Ruto amepuzilia mbali wale wanaokosoa serikali jumuishi ambayo inashirikisha viongozi kutoka chama cha upinzani cha ODM, Akiongea katika eneo la Keumbu kaunti ya Kisii wakati wa siku ya pili ya ziara yake katika eneo la Gusii, rais Ruto alikariri kuwa wakati umewadia wa kuweka mbele maslahi ya taifa badala ya maslahi ya kibinafsi. Ruto alisema kuwa uongozi uliojikita kwenye uzalendo ni bora kuliko maslahi ya kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive