Ajuza auawa nyumbani kwake kijiji cha Nyagidha, Homabay

  • | KBC Video
    25 views

    Polisi katika kaunti ya Homabay wameanzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji ya ajuza mwenye umri wa miaka 68 na watu wasiojulikana katika kijiji cha Nyagidha. Mwili wa marehemu Wilkister Odanga ulipatikana na jamaa yake aliyefika nyumbani kumjulia hali lakini akapata kesha uawa. Marehemu Odanga ambaye ana mahitaji maalum alikuwa na alama usoni, ishara kwamba kulikuwa na mvutano kabla ya kuuawa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive