Kesi ya Mackenzie na wenzake inaendelea Mombasa

  • | Citizen TV
    355 views

    Kesi dhidi ya mhubiri Tata Paul Mackenzie Na washukiwa wengine wa mauwaji ya Shakahola inaendelea katika mahakama ya Mombasa mbele ya Hakimu mkuu Alex Ithuku. Mashahidi zaidi wanatazamiwa kuendelea kutoa ushahidi kuhusu kilichokuwa kikiendelea Na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 400.