Serikali haisikilizi wananchi

  • | Citizen TV
    152 views

    “Serikali ya kenya haisikilizi sauti za wananchi ” , ndiyo matokeo ya utafiti wa miaka kumi wa shirika la twaweza linaloangazia matatizo na changamoto wanazopitia wananchi katika mataifa ya Kenya ,Tanzania na Uganda