Vijana Kwale wahimizwa kueneza amani kupitia mtandao

  • | Citizen TV
    64 views

    Vijana katika kaunti ya Kwale wametakiwa kutumia mitandao ya kidijitali na technolojia kwa njia inayofaa ili kueneza hamasisho ya uwiano na amani na kupambana na itikadi potovu.