Serikali ya kaunti ya Kirinyaga yahimiza ulaji wa samaki

  • | Citizen TV
    57 views

    Gavana wa kaunti ya Kirinyaga Ann Waiguru ameongeza juhudi katika kupambana na magonjwa yasiyoambukizwa ya mienendo ya masiha kwa kuhamasisha umma kuhusu uzalishaji na ulaji wa samaki.