Mahakama: Polisi hawapaswi kujifunika nyuso wakati wa maandamano

  • | TV 47
    107 views

    Mahakama Kuu mapema hii leo ilimwagiza Inspekta Jenerali wa Polisi kuhakikisha kwamba maafisa wa polisi kwenye maandamano wamevalia sare zao na kuwa na vitambulisho vya majina yao vilivyotumika kwa mujibu wa taratibu za kawaida za utendakazi wao.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __